Ametakasika mwennyenzi Mungu m’bora wa kuumba, ambae kaniangazia na kunichagua ili nipate kufikisha kweli yake ku watu ;
Maana amenipa kazi ya kuweza kufundisha watu habari ya uzima wake, ili kusadikisha ya kwamba kuna uzima ulimwenguni ambae ndio chemchem ya upatikanaji na maisha;
Kitabu hiki «uzima» ni ukaguzi wa ulimwengu na walimwengu.
Ili watu wapate kua yakini na uzima wa Mungu.
Someni kitabu hiki na ishikeni kimakini maneno yake ili mupate kuokoka.
N.B. Kitabu "UZIMA" kilitangulia "enzi" tukufu .maana nili watoleeni ujumbe huu katika sehemu ine kadiri ya vitabu vine : uzima, enzi tukufu , nuru takatifu na usilimu,
Connectez-vous pour laisser votre commentaire